INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
YANGA
Kocha
Hans van der Pluijm amelazimika kufanya mabadiliko katika kikosi chake
upande wa ulinzi kutokana na pengo la wachezaji wawili.
Kelvin
Yondani ana kadi nyekundu, nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' ni
majeruhi. Hivyo Pluijm amewapanga Bossou na Pato Ngonyani kuongoza safu
ya ulinzi huku mkongwe Mbuyu Twite akiongoza kiungo cha ukabaji.
1. Ally Mustapha ‘Barthez’
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Pato Ngonyani
5. Vicent Bossou
6. Mbuyu Twite
7. Deus Kaseke
8. Thabani Kamusoko
9. Amissi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Haruna Niyonzima
SUB
Deo Munish
Malimi Busungu
Nadir Harub
Geofrey Mwashiuya
Oscar joshua
Issofou Boubacar
Simon Msuva
SIMBA
1. Vicent Agbani
2. Hassan Kessy
3. Mohammed Hussein ‘Tshabalala’
4. Juuko Murshid
5. Abdi Bhanda
6. Justuce Majabvi
7. Mwinyi Kazimoto
8. Jonas Mkude
9. Hamisi Kiiza
10. Ibrahim Ajibu
11. Said Ndemla
SUB:
Peter Manyika
Emry Nimubona
Lufungo
Awadh Juma
Dani Lyanga
Mussa Mgosi
Brian Majwega
0 comments:
Post a Comment