Wanafunzi wa chuo kikuu SUA kozi ya food processing wamefanikiwa kupanda mlima uluguru,kwa mara ya kwanza,tangu wafike chuoni hapo.
Wakizungumza na reporter wa blog hii ya MASWAYETU ,mmoja wa walioshirikisafari hiyo bwana SHABANI MLISHIDI amesema kwamba safari hiyo ilianza mida ya saa moja kasoro asubuhi ambapo walifanikiwa kupanda mlima huo kupitia njia ya kwa mkuu wa mkoa wa MOROGORO.
Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati wa TOUR hiyo iliyofanyika mapema leo hii,
Kutoka kulia ni mwa picha hii ni(bi halima,prisca,angle,bazila,tete,lilian,mlishidi,sabuni,cos,jaq,kato,tina,da froza,isaya,na mr,innocent |
hawa ni wanafunzi wa SUA mwaka wa tatu wakiwa mlimani |
hapa katika picha ni vijana wakiwa wanapanda mlima,(tete,eddy,neville) |
hapa ni moja ya picha wakiwa wanapanda mlima huo wakiongozwa na bi halima |
waliopo ktk picha ni pamoja na mchizi wa dar-ibra,kato,dada fathiya,valence,bazilla,shadrack,tete,prisca,angle,innocent na christina |
wanafunzi hao wakiwa mlimani ktk moja ya vyanzo vinavyotirisha maji mkoani morogoro |
hapa ni brother neville na brother eddy wakiwa njiani wakipanda mlima huo |
0 comments:
Post a Comment