Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake,
nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini,
wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia
kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa deni
la taifa. Ingawa hii haina maana kwamba hizi tabia zimeisha lakini
amenifanya niamini kabisa kwamba kumbe siasa inatakiwa uvae joho jingine
kuifanya...Kwa Waliopata Nafasi ya
Kumsikiliza Leo Clouds FM Najua Mtakuwa Mmeliona Hilo Kaongea Vizuri
Sana Tofauti na Anavyoropokaga Akiwa Jukwaani ama Bungeni.
0 comments:
Post a Comment