Na Karoli vinsent NI Maangamizi tu leo kwenye uwanja wa Taifa ndivyo naweza kusema , wakati timu ya Simba inapokutana na timu ya Nkana kutoka nchini Zambia kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika , Ambapo sasa Mabingwa hao wa ligi Kuu timu ya Simba wametangaza kikosi cha hatari ambacho ukikitazama unaweza kuhoji Nkama wanapita wapi kwa mafano?. Katika Kikochi hicho kulichotangazwa na Kocha wa Simba mwenye Fomesheni za hatari,Mbelgiji Patrick Aussems ,ambacho ni 1.Aishi Manila. 2.Nicolas Gyani 3.Mohamed Hussein 4.Erasto Nyoni. 5.Pascal Wawa. 6.James Kotei 7.Jonas Mkude. 8.Clatous…
0 comments:
Post a Comment