Na karoli Vinsent NYOTA ya Mchezaji wa Mbingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Timu ya Simba,Clatous Chama, inazidi kung’aa kwenye kimataifa ndivyo naweza kusema baada ya kushika nafasi ya pili ya kwenye orodha ya wachezaji waliofunga matatu na kuendelea katika michuano ya ligi ya Mabindwa Afrika. Mchezaji huyo mwenye “Udambwe Udambwe” wa hatari anapokuwa uwanjani ameshika nafasi ya pili kwenye orodha ambayo yupo nyuma na Moataz Al-Mehdi anayekipigia kwenye timu la Al nasr. Katika Orodha hiyo nafasi ya tatu inashikwa na Mshambuliaji hatari ambaye hana huruma anapokuwa kwenye gori la timu pinzani,Meddei…
0 comments:
Post a Comment