Monday, 18 August 2025

NILIKUWA MLEVI WA KUPINDUKIA NILILALA BAA, NIKAAMKA GEREZAN, SASA NIMEKUWA MFANYABIASHARA WA MAFANIKIO

...

Nilikuwa mlevi sugu. Sina aibu kusema hivyo kwa sababu nimebadilika kabisa sasa. Kwa miaka mingi, pombe ilikuwa kila kitu kwangu. Nilikuwa naweza kuamka asubuhi na kupiga bia au konyagi kabla hata sijapiga mswaki. Marafiki walinipenda kwa sababu nilikuwa wa kujirusha, mwenye tabasamu, na mwenye kuwalipia pombe bila kujali.

Lakini nyuma ya tabasamu hilo kulikuwa na uchungu mkubwa. Familia yangu ilinichoka. Mke wangu aliondoka na watoto. Kazi yangu iliingia matatani mara kadhaa kwa sababu ya kulewa kazini. Nilianza kupoteza uzito, afya yangu ilidhoofika, na sikuwa tena mtu wa heshima mtaani.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger