
Asubuhi moja ya Jumamosi mjini Morogoro, mke wangu Halima aliniamsha kwa kishindo na kuniuliza kwa sauti ya juu, “Sasa unaniweka kwa nafasi gani? Mbona siku hizi huna hisia nami? Una mpango wa kando, si ndiyo?” Nilibaki nimeduwaa.
Nilijua siku moja angeibua jambo hili, lakini sikutegemea lingekuja kwa hasira hizo. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kando. Nilikuwa nateseka kimya kimya na tatizo la kukosa msisimko wa nguvu za kiume jambo ambalo lilikuwa likinichoma moyo na kuniumiza kila siku.
0 comments:
Post a Comment