Na Shabani Rapwi. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu usiku jana amefunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na klabu ya JS Saoura ya Algeria, baada ya kuvunja mkataba na klabu ya AL Hilal ya Sudan. Ulimwengu alikuwa wa kwanza kupachika goli mnamo dakika ya 83′ na dakika ya 90+ 2 Bokbouka akapachika goli la pili na kuifanya JS Saoura kuondoka na alama 3 dhidi ya DRB Tadjenanet. Ushindi huo wa magoli 2-0 unaifanya JS Soura kufikisha jumla ya alama 30, wakiwa kwenye nafasi ya 6 kwenye msimamo wa…
0 comments:
Post a Comment