Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”…
0 comments:
Post a Comment