Na Shabani Rapwi. Klabu ya Real Madrid leo Jumapili imekubali kichapo cha magoli 2-1 kutoka kwa Girona FC kwenye uwanja wake wa nyumbani, Santiago Bernabeo. Madrid walikuwa ndiyo wa kwanza kuandia goli katika dakika ya 25′ kupitia kwa nyota wao Casemiro, na mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika ( dakika 45 ) Madrid wakiwa mbele kwa goli 1-0. Kipindi cha pili kilianza kwa kasi sana huku Girona wakiutawala mchezo kwa kiasi na mnamo ya dakika ya 68′ wakasawazisha goli kupitia kwa nyota wao Cristhian Stuan kwa njia ya mkwaju wa penati…
0 comments:
Post a Comment