Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Paskazia Andrew Sindano (17) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata panga kichwani mtoto Kashindye Mgemagiko (03) anayedaiwa kuzaliwa na mama mwingine mwenye mahusiano ya kimapenzi na mmewe. Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule,tukio hilo limetokea Februari 15,2019 majira ya saa 12 jioni katika kitongoji cha Emalaupena,kijiji cha Misayu kata ya Ubagwe halmashauri ya wilaya ya Ushetu. “Chanzo cha tukio hili ni wivu wa kimapenzi kwa kuwa mama wa mtoto…
0 comments:
Post a Comment