Na Shabani Rapwi. Usiku wa Jana Jumatatu Manchester United wakiwa ugenini kwenye dimba la Stamford Bridge wameweza kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa michuano ya FA CUP na kuweza kutinga hatua ya robo fainali. United walipata goli la kwanza kupitia kwa nyota wao Ander Herrera mnamo ya dakika 31′ na dakika 14′ mbele mfaransa Paul Pogba akapachika goli la pili dakika ya 45′ mpaka kipindi cha kwanza kinakamilika United wakiwa mbele kwa goli 2-0. Kipindi cha pili kilianza kwa kasi sana huku Chelsea wakiwa wanataka…
0 comments:
Post a Comment