Na Amiri kilagalila Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Njombe mkoani Njombe limepitisha mpango wa bajeti wa shiringi bilioni 27.4 kwa mwaka wa fedha 2019-2020 ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2018-2019 iliyokuwa shiringi bilioni 22.5 sawa na ongezeko la asilimia 18 ya bajeti hiyo. Akisoma mpango wa bajeti hiyo kabla ya kupitishwa katika kikao cha baraza maalum la madiwani halmashauri ya wilaya ya Njombe,afisa mipango wa halmashauri hiyo ndugu Daniel Anganile,amesema ongezeko la asilimia 18 limetokana na kuongeza makisio ya vyanzo vya mapato ikiwa ni pamoja na…
0 comments:
Post a Comment