Na Shabani Rapwi. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta usiku wa jana Jumapili amefunga goli moja licha ya timu yake ya KRC Genk kupoteza kwa kufungwa goli 3-1 kutoka kwa Club Brugge. Samatta amefunga goli ilo la kufutia machozi kwa timu yake ya Genk dakika ya 77′ huku magoli ya Club Brugge yakifungwa na Clinton Mata dakika ya 21′, Siebe Schrijvers dakika ya 37′, na Ruud Vormer dakika ya 78′. Genk licha ya kupoteza mchezo huo bado wanasalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa alama 57,…
0 comments:
Post a Comment