Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na
kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za
kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia mwandishi wa
habari na Mtangazaji Millard Ayo barua ili aisome kwa Watanzania,
bonyeza play kwenye hii video hapa chini….
0 comments:
Post a Comment