Rubani na abiria mmoja wamefairiki Dunia, katika ajali ndege ya Kampuni ya Auric Air, kufuatia kuanguka asubuhi ya leo katika Uwanja wa ndege mdogo Seronera, Serengeti. Waliofariki wote ni Watanzania.
Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ambapo ilikuwa ikiruka kutoka Serengeti kwenda Arusha baada ya kushusha watalii
Kamishna Msaidizi mwandamizi wa shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amesema taarifa zaidi watatoa baadaye.
0 comments:
Post a Comment