Wednesday, 11 September 2019

Mwanzilishi wa Kampuni ya Alibaba Jack Ma Astaafu Rasmi

...
Bilionea Jack Ma amestaafu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Alibaba, baada ya kuongoza kwa miaka 20, akishuhudia Kampuni ya Alibaba ikikua na kuanzisha biashara mpya. Jack amemteua  Daniel Zhang kuongoza makampuni hayo.

Katika barua yake aliyotoa kwa umma Septemba, 10, mwaka jana, bilionea huyo ambaye pia ni mwanzilishi wa kampuni hiyo kubwa ya biashara ya mtandaoni alisema Alibaba kamwe haimilikiwi naye peke yake, lakini atakuwa nayo daima.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger