Sunday, 15 September 2019

MBARONI KWA KUUA MKEWE KISHA KUMTUPA MIGOMBANI

...
 Jeshi la Polisi Mkoa Arusha linamshikilia Amir Hassan kwa tuhuma za kumuua mke wake, Lidya Kiwale kisha kutupa mwili kwenye migomba jirani na makazi yake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema tukio hilo limetokea kijiji cha Majengo na baada ya mauaji hayo Hassan anatuhumiwa 

"Tumepata taarifa za tukio hili ambalo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Septemba 15, 2019 na mtuhumiwa tayari ameshikiliwa na polisi kwa mahojiano",amesema Kamanda Shana.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger