Muungano wa Klabu za Waandishi wa habari nchini Tanzania (UTPC) umeitangaza Kampuni ya Jamii Forums kuwa mshindi wa Tuzo ya Mwangosi mwaka 2019.Mwenyekiti wa Jopo la Majaji wa Tuzo ya Daudi Mwangosi 2019,Charles Kayoka ameitangaza Jamii Forums kuwa mshindi wa Tuzo ya Daudi Mwangosi 2019 katika mkutano uliohudhuriwa viongozi wa Klabu za Waandishi wa habari nchini pamoja na wageni mbalimbali katika ukumbi wa Raha Leo,Zanzibar leo Septemba 6,2019.
Balozi wa Sweden nchini Tanzania,Anders Sjoberg akimkabidhi tuzo ya Daudi Mwangosi,Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Mello leo katika ukumbi wa Raha Leo,Zanzibar . Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Mello akiangalia tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Mello akionesha tuzo ya Daudi Mwangosi 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Mello akionesha tuzo ya Daudi Mwangosi 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Mello akipokea hundi ya shilingi milioni 10 ambayo ni zawadi ya Tuzo ya Daudi Mwangosi 2019.
0 comments:
Post a Comment