
Familia ya kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe imekataa shujaa huyo wa vita vya ukombozi kuzikwa katika makaburi ya kitaifa ya mashujaa na badala yake wanataka azikwe katika makaburi ya familia kama alivyousia wakati wa uhai wake.
Mwili wa Rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuzikwa Jumapili, Septemba 15,2019.
Rais Mugabe alifariki dunia Septemba 6 huko nchini Singapore alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi Aprili, 2019.

0 comments:
Post a Comment