Je umekonda na kudhoofu mwili kutokana na sababu mbalimbali kama vile msongo wa mawazo na kuugua maradhi mbalimbali kama vile kisukari nakadhalika ?
Unahitaji kurejesha mwili wako katika hali yake ya kawaida ? Unahitaji kuongeza mwili na uzito wako ?
Kama jibu lako ni NDIO basi HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO.
Neema Herbalist ni duka la kuuza dawa mbalimbali za asili. Tunayo DAWA LISHE YA ASILI ambayo inanenepa mwili kwa watu walio dhoofu na kukonda kwa sababu mbalimbali.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wetu wa jijini DAR ES SALAAM ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu tunayo huduma ya HOME & OFFICE DELIVERY
Na kwa wateja wetu waliopo nje ya mkoa wa DAR ES SALAAM tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri mbalimbali kama vile MABUS au BOTI kwa wateja wetu wa ZANZIBAR.
Wasiliana nasi kwa SIMU NAMBA : 0693 005 189
TUTEMBELEE : www.neemaherbalist.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment