Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga ndiye aliyekuwa MC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019

Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment