Wabunge wa upinzani wametoka nje ya bunge kupinga hatua iliyochukuliwa na Bunge ya kumsimamisha Mhe.Halima Mdee mikutano miwili ya bunge kuanzia leo kutokana na kulidharau Bunge.Tuesday, 2 April 2019
WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA BUNGE KUPINGA MDEE KUSIMAMISHWA
Wabunge wa upinzani wametoka nje ya bunge kupinga hatua iliyochukuliwa na Bunge ya kumsimamisha Mhe.Halima Mdee mikutano miwili ya bunge kuanzia leo kutokana na kulidharau Bunge.
0 comments:
Post a Comment