Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa watu walionunua korosho kwa mtindo wa Kangomba iwapo watakiri kujihusisha na mtindo huo na kuwaonya wasirudie tena kosa hilo kwa msimu ujao.Tuesday, 2 April 2019
RAIS MAGUFULI AWASAMEHE WALIONUNUA KOROSHO KWA MTINDO WA KANGOMBA
Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa watu walionunua korosho kwa mtindo wa Kangomba iwapo watakiri kujihusisha na mtindo huo na kuwaonya wasirudie tena kosa hilo kwa msimu ujao.
0 comments:
Post a Comment