Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka mkuu wa wilaya ya Biharamulo Sada Malunde na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo Wande Ng’ahara kumaliza tofauti zao na wasipojirekebisha atamshauri Rais Dkt. John Magufuli kufanya maamuzi mengine kwa sababu kitendo cha kutokuelewana kwa viongozi hao ni mfano mbaya kwa watumishi walio chini yao.
0 comments:
Post a Comment