Sunday 20 August 2023

FOXPOT SLOTI BORA KUTOKA MERIDIANBET!

...



KUWA KWENYE NAFASI NZURI YA KUSHINDA MKWANJA MREFU, BONASI KIBAO KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET NI SLOTI YA FOXPOT

Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot

 

Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama ya malipo ya Wild/windoKasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ni sehemu sahihi kwa wachezaji wa kasino!

 

Sio hayo tu, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia sloti ya Foxpot inakuletea Gurudumu 12 ambalo litakupa fursa ya kushinda bonasi mbalimbali.

 

Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa kugusa hapa na ufurahie ushindi mkubwa.

 

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot

 

Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!

 

Sloti hii ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali. Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.

 

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.

 

Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko kiatomatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliwaka.

 

Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako.

 

Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet na upate bonasi kubwa, Odds kubwa na Jackpoti kabambe.


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger