Na Francis Godwin, Iringa CHAMA cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimewaonya watendaji wa chama hicho pamoja na wale wa kuchaguliwa kufanya kazi walizoomba badala ya kuanzisha vurugu za kujipanga kwa uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020 na baadhi yao kuwa mawakala wa usambazaji rushwa za wagombea. Kuwa wapo baadhi ya viongozi ambao kwa sasa wanashindwa kuwajibika kwa shughuli za chama na badala yake wamekuwa wakihangaika na kujiandaa kwa ajili ya kugombea nafasi za juu kama udiwani na ubunge huku wakitambua muda wa kufanya hivyo bado haujafika . Akizungumza na viongozi…
0 comments:
Post a Comment