Na Shabani Rapwi. Usiku wa jana, Arsenal wametinga hatua ya 16 bora ya Europa League baada ya kupata ushindi wa magoli 3-0 na kufanya kuwa jumla ya magoli 3-1 dhidi ya Bate Borisov baada ya mechi ya kwanza kufungwa goli 1-0, Goli la kwanza la Arsenal likipatikana dakika ya 4 baada ya nyota wa Bate, Voikov kujifunga, dakika ya 39 Shdaran Mustafi alipachika goli la pili na dakika ya 60, Sokratic Papastar alipachika goli la tatu na la ushindi. Arsenal inaungana na timu za, Sevilla, Napoli, Valencia, Villarreal, Dinamo Zagreb,…
0 comments:
Post a Comment