Sunday, 17 February 2019

WAKANDARASI WABABAISHAJI WATANGAZIWA KIAMA

...
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema mkandarasi anayesambaza umeme vijijini ikitokea amedanganya wananchi na serikali kwa kutotekeleza majukumu yake kadri ya makubaliano, ataadhibiwa. Dk Kalemani aliyasema hayo akiwa wilayani Gairo mkoani Morogoro ambako alifika katika Kijiji cha Kibedya kwa ajili ya kukagua kazi ya usambazaji umeme na kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi huyo. “Nilipanga kuja hapa Desemba mwaka jana ndipo mkandarasi huyu akaamua kuleta umeme hapa, lakini sikuja na yeye akasimama kazi. Leo nimekuja kukagua na kukuta nyumba nyingi hazijaunganishiwa umeme na nguzo zimelala badala ya kusambazia watu nishati…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger