Matukio ya picha na maelezo Tuache uvivu wachimbaji wa madini Njombe,tuache kufikiri kwa udogo na tuvae ushujaa wa Rais tujione tuna nafasi kubwa tuzichukue leseni zinazowezekana na kushiriki katika uchimbaji,madini haya tuyatoe ardhini ili tumuunge mkono Rais katika wakati huu tupate fungu letu na taifa lipate fungu lake. Alfred .g.Luvanda mwenyekiti wa chama cha wachimba madini Njombe (NJOREMA) alisema wakati wa kikao cha kumpongeza Rais kufanya mabadiliko ya sheria ya uchimbaji madini. Kama alivyosema mwenyekiti naombeni tuunganishe nguvu zetu tuanze kuchimba haya madini yetu sasa hivi wanaanza kutambuliwa wachimbaji wale…
0 comments:
Post a Comment