Sunday, 17 February 2019

WAFANYABIASHARA SOKO KUU MAFINGA WAKARABATI BARABARA ZA NDANI YA SOKO KUONDOA VUMBI

...
Na.Amiri kilagalila Wafanyabiashara wa soko kuu mafinga kwa kushirikiana na serikali wameanza kukarabati barabara zilizopo ndani ya soko hilo kwa kutumia tofali za saruji ili kuondoa changamoto ya uwepo wa vumbi na matope ambayo imeonekana kuwa kero kwa muda mrefu sokoni hapo. Wakizungumza na mtandao huu viongozi wa wafanyabishara wamesema wameamua kutumia matofali katika kufanya ujenzi huo badala ya kutumia lami kutokana kukosa fedha na kwamba kwa kuanza watajenga barabara ya urefu wa mita 150 kwa gharama ya shilingi milioni 6. Hata hivyo wafanyabiashara hao wameeleza baadhi ya changamoto zinazowakabili…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger