Wednesday, 20 February 2019

MESSI KUFUKUZIA REKODI YA XAVI LIGI YA MABINGWA ULAYA

...
Na Shabani Rapwi. Mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi usiku wa jana Jumanne, February 19, 2019 amecheza mechi yake ya 130 akiwa ndani ya klabu hiyo katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) ambapo Barcelona ilipokutana na Lyon ya Ufaransa na kumalizika kwa sare ya bila kufungana 0-0. Katika mchezo huo Messi alikuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kilicho anza. Mess anakuwa sawa na Andreas Iniesta kucheza mechi 130 ya Ligi ya Mabingwa Ulay huku akianza kufukuzia rekodi ya Xavi ambaye ndiye mchezaji aliyecheza mechi…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger