Na Stephen Noel -Mpwapwa. Mahakama ya Hakimu mkazi ya wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma imemuhukumu kifungo cha miaka 7 Jela bwana Martin Lembile mkazi wa kijiji cha Kibakwe Kata ya Kibakwe wilaya ya Mpwapwa. Kesi Hiyo iliyo kuwa inasikilizwa na hakimu mkazi bwana Pascal Mayumba wa mahakama Hiyo ya wilaya. Hakimu Mayumba ameiambia mahakama kuwa mtuhumiwa Bwana Martin Lembile aliiba madirisha mawili ya Aluminiam yaliyo kuwa yanalenga kumalizia kituo kipya cha Afya cha Kibakwe. Aidha Hakimu Mayumba amesema bila halali mtuhumiwa alitenda kosa hilo kinyume na sheria namba 265 ya…
0 comments:
Post a Comment