Na Shabani Rapwi. Usiku wa kuamkia leo Jumamosi, February 23, 2019, mabondia wawili wa Tanzania, Hussein Itamba, Ibrahimu Tamba walikuwa ulingoni katika mji wa Budepest, Hungary na wote wamepoteza mpambano yao kwa points. Pambano la kwanza lilikuwa la raundi nane la uzito wa Middle Weight 77’5kgs kati ya Hussein Itamba dhidi ya mjerumani Mates Kids, na mtazamani Itamba alipoteza kwa pambano ilo kwa points zaidi ya mjerumani huyo. Na pambano la pili lilimkutanisha bondia mtanzania Ibrahim Tamba na bondia Sherfat Suf kutoka Hurungay katika pambano la raundi nane uzito wa…
0 comments:
Post a Comment