SERIKALI imesema si kweli kwamba mipira ya ngono (Kondomu)imepotea na kuwa adimu bali zimepanda bei kufuatia Global Fund kuacha kutoa ruzuku kwenye bidhaa hiyo muhimu. Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile ameyasema hayo kupitia TBC1 “Jambo Tanzania” akitoa ufafanuzi juu ya nini mpango mkakati wa sekta ya afya nchini kwa mwaka huu. Hata hivyo pamoja kondomu kuadimika maeneo mengi nchini lakini kuliko na ukame mkubwa mipira hiyo ni Mafinga na Njombe ambako kunahitajika kondomu za dharura maana mahitaji ni makubwa sana. “Suala la Mafinga na Njombe ni dharura hivyo kama…
0 comments:
Post a Comment