Na Fatuma Mtemangani Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa wa Morogoro ndugu Heri Hozza ameendelea kutekeleza ahadi zake kwa.kupeleka vifaa vya michezo katika kituo cha kulelea watoto yatima cha UKWAMA kilichopo wilaya ya Ulanga Mkoa Morogoro. Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya mwenyekiti Ndugu Hozza katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Ulanga Bi.Jasmini Kihele amesema kuwa Jumuiya ya wazazi iko pamoja nae na itaendelea kushirikiana nae kwa mazuri na changamoto yeyote katika kituo hicho na asisite kutoa taarifa pale anapokuwa na tatizo lolote. Pia amempongeza mlezi wa kituo hicho…
0 comments:
Post a Comment