Friday, 22 February 2019

EWURA KUANZISHA VITUO VYA MAFUTA VYA KUHAMA HAMA

...
Na Amiri kilagalila Ili kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji EWURA imesema kuwa inataraji kuanzisha huduma ya sheli zinazotembea Mobile pump station kwa kutumia magari maalumu yalitengenezwa kwa kazi hiyo zikiwemo pikipiki za miguu mitatu zinazoendelea kuundwa kupitia chuo kikuu cha dar es salaam udsm. Mkurugenzi wa mawasiliano na mahusiano mamlaka ya udhibiti ya nishati na maji Titus kaguo ameyasema hayo wakati akijibu maswali ya baadhi ya wadau wa nishati na maji walioshiriki katika semina elekezi juu ya ufanyaji kazi wa mamlaka hiyo…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger