Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, kwa sasa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba amepata ajali ya gari. Kiongozi huyo amepta ajali akiwa njiani barabara ya Iringa kuelekea Dodoma na amekimbizwa hospitali ya Dodoma.
0 comments:
Post a Comment