Monday, 18 February 2019

BITEKO AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WAWILI KWA KUTOA LESENI YA MADINI KINYUME NA SHERIA

...
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameagiza kusimamishwa na kuchukuliwa hatua kwa watumishi wawili wa wizara yake kwa kutoa leseni ya uchimbaji madini ya Tanzanite kwa wageni kinyume cha Sheria ya Madini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Februari 18, 2019 jijini Dodoma, BIteko amesema watumishi hao  walitoa leseni hizo za uchimbaji wa madini hayo kwa raia wa Kenya kinyume cha Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na marekebisho yake ya mwaka 2017. Amesema kifungu hicho kinakataza leseni ndogo za uchimbaji (PML) kutolewa kwa wageni. Pia ameagiza kufutwa kwa leseni…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger