Na mwandishi wetu Iringa Mkazi wa Iringa kata ya Mwangata mtaa wa Ngelewala aliyefahamika kwa majina ya Agusta Sihava amejikuta katika wakati mgumu na kupelekea kuchomewa nyumba yake anayo ishi na wananchi wenye hasira kali wakimshinikiza kuhama eneo hilo kwasababu anaishi na wajukuu wezi. Ajuza huyo anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 alikumbana na kadhia hiyo ambayo ilimsababishia kupoteza kila kitu na yeye kuponea chupuchupu kuungua na moto baada ya wananchi wenye hasira kali kumtaka ahame eneo hilo vinginevyo atapatwa na mambo mabaya kwasababu ya wajukuu zake. Aidha wananchi…
0 comments:
Post a Comment