Waombaji kazi wafuatao wa kada ya Uhasibu (Accountant II) ambao
walifanya usaili wa Mchujo tarehe 12 Februari, 2016 wanaombwa kufika
kwenye usaili wa Mahojiano Oral Interview utakaofanyika tarehe 22
Februari, 2016, saa moja kamili asubuhi katika Ofisi za Sekretarieti ya
Ajira.
0 comments:
Post a Comment