
Nikaamua kufunga safari na kuanza kujionea eneo la Sinza, Dar es salaam alilopata ajali na kisha hadi nyumbani kwao Ilala Bungoni kwenye msibani.

Hili ndio eneo alilopatia ajali John Woka wakati akitengeneza gari

.

.

.

.

.

.

.

.

Mmoja wa mafundi waliokuwa na marehemu siku ya ajali

Baba mzazi wa John Woka
SOURCE:MILLARD AYO
0 comments:
Post a Comment