Na. EA.7/96/01/G/51 01 Agosti, 2014
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 18
hadi 21 Juni, 2014 waliofaulu usaili husika mchakato wa kuwapangia vituo
vya kazi umekamilishwa. Orodha ya majina yao ni kama yanavyoonekana
katika Tangazo hili. Orodha hii inajumuisha pia baadhi ya wasailiwa
waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa
vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa
katika muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo vya
kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia
kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua
ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili BONYEZA HAPA KWA WALIOITWA KAZINI
ASANTE KWA KUTEMBELEA MASWAYETU BLOG NA KARIBU TENA
0 comments:
Post a Comment