INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa wa MASWAYETU
LEO TUNAWELETEA MAJINA YA WANAFUNZI TAKRIBANI 8101 YA...
Sunday, 31 August 2014
Friday, 29 August 2014
BREAKING NEWZ:ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA/UUGUZI 2014-2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT Leo tunawaletea majina mapya ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya milembe na maramba tanga kwa mwaka wa masomo 2014/2015;hii inwahusu wale wote mlioomba vyuo vya afya 2014/15.
Kama ilivyo utaratibu wetu tunaenedelea kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo utataka...
Thursday, 28 August 2014
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA KAZI SERIKALINI KWA WALIOSOMA NJE YA NCHI, WALIOPOTEZA VYETI NA WENYE MAJINA TOFAUTI NA VYETI VYAO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sekretarieti
ya ajira katika kutekeleza majukumu yake ya uendeshaji wa mchakato wa
ajira Serikalini imekuwa ikikabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo
tatizo la baadhi ya waombaji kazi kupoteza, kuibiwa, kuharibikiwa au
kuunguliwa vyeti vya kitaaluma pamoja...
Sunday, 24 August 2014
MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KAMBI ZA JKT KWA WALIMU(DIPOLOMA&CHETI) NA KIDATO CHA SITA SEPTEMBER 13

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI VIKOSINI TAREHE 13 SEPTEMBA 2014 BADALA YA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014.
VIJANA WANAOTAKIWA KURIPOTI NI...
Friday, 22 August 2014
BREAKING NEWS:ORODHA YA MAJINA KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU WALIOKOSEA APPLICATIONS,MFANO KUKOSEKANA KWA PICHA,SAHIHI,VYETI 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatimae bodi ya mikopo yatoa majina ya wanafunzi ambao wamekosea kutuma maombi ya mikopo kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu mwaka 2014/2015.
Kama kawaida yetu MASWAYETU...
Thursday, 21 August 2014
WATU WAFUATAO TAKRIBANI 1339 WANAHITAJIKA SKRETARIETI YA AJIRA-UTUMISHI DAR-MJULISHE NA MWENZAKO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa leo tunweletea majina ya watu walioitwa sekretarieti ya ajira dar-kwa ajili ya usaili.
Hii inawahusu...
Wednesday, 20 August 2014
BREAKING NEWZ:ZAIDI YA WANAFUNZI 28000 KUKOSA MIKOPO YA ELIMU YA JUU,BODI YASEMA ITAKOPESHA WANAFUNZI 30000 TU,HUKU SAUT,IFM,TEOFILO,TUMAINI,SMUCCO&JORDAN KUPATA PESA YA FIELD WIKI IJAYO.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HABARI WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO.
Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi ya mikopo...