Saturday 3 May 2014

LULU,SIO MABOSI WOTE WANATAKA TUKUTANE NAO KIMWILI (NGONO)

...

STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.
Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii bila kuomba penzi, si wote, wapo wasioomba,” alisema Lulu ambaye aliwahi kutajwa kuwa anatembea na mmoja wa mabosi wake wa sasa.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger