atimaye
picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es
Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo
mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa
vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400
ya sasa mpaka Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.
WAKATI
vifo mfululizo vikitokea Mei mwaka huu miongoni mwa wasanii maarufu
nchini, nyota wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ameibuka na kusema endapo
ataaga dunia, hahitaji kufanyiwa mbwembwe wakati wa msiba na mazishi
yake kama wasanii wengine walivyofanyiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,
Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya
utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga
ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale.
Wanaume hatimayekutambua kwamba hawapo peke yao kitandaninakwamba kumridhisha mwanamkeni muhimukatikakudumisha uhusiano wa kimapenzi!Kuchukua hii kutoka
kawaida
wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika
ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali
inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo”
hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya
MVUTANO mkubwa
umeibuka juu ya wapi azikwe marehemu Nasra Mvungi, mtoto aliyeishi
ndani ya boksi kwa miaka minne baada ya kufariki dunia hivi karibuni
katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mwili wa mtoto Nasra Mvungi ukishushwa kwenye gari ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro kuagwa.XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Mazishi ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi tangu
akiwa na umri wa miezi tisa, yanatarajiwa kufanyika leo katika makaburi
ya Kola mkoani Morogoro.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/G/23 02ndJune, 2014 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands, Housing and Human Settlement Development, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 2 vacant posts in the above Public Institutions. i.....
Wabunge
wanawake wenye muda mrefu bungeni pamoja na mke wa waziri mkuu, Mama
Tunu Pinda juzi walimuandalia sherehe ya kumfariji mbunge wa viti maalum
(CCM), Vicky Kamata baada ya harusi aliyotarajia kufunga wiki
iliyopita, kukwama.
Askari
wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es
Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu
ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao wameingia nchini kinyume na
taratibu za uhamiaji.
Kati
ya watuhumiwa 14 watuhumiwa 12 ni wasichana ambao waliletwa nchini kwa
lengo la kufanya maonyesho ya nyimbo za asili lakini wakajikuta
wakingizwa katika biashara zingine ikiwemo kucheza muziki katika nyumba
za burudani.