Kikao cha Pili cha Mkutano wa Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP) kinaendelea muda huu leo Jumanne Novemba 1,2022 kikiongozwa na Kauli mbiu ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2022 "Kujenga Uthabiti katika Lishe katika Bara la Afrika : Kuharakisha mtaji wa watu, maendeleo ya kijamii na kiuchumi". Fuatilia hapa chini
0 comments:
Post a Comment