KATIBU wa Bunge Steven Kagaigai ametangaza kuwa Bunge la 12 kuanza rasmi Novemba 10 mwaka huu jijini Dodoma huku akiwataka wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa kufika katika ofisi za Bunge wakiwa na nyaraka mbalimbali kwa ajili ya kujisajili.
Wito huo ameutoa leo jijini Dodoma kwa waandishi wa habari jijini Dodoma, Kagaigai amesema kuwa kikao hicho kimeitishwa baada ya Tangazo la Rais lililotolewa Novemba 5, mwaka huu kwenye gazeti la serikali toleo maalum namba 942A
0 comments:
Post a Comment