Asia Yahaya Kallage amekuwa mshindi wa kwanza wa uchaguzi wa kura za maoni kuwania Nafasi ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Tanga kupitia kundi la Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kupata kura 19 kati ya kura 43 zilizopigwa huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Mosi Bakari Jengo aliyepata kura 14 akifuatiwa na Mwanaidi Awadhi Kipingu aliyepata kura 9.
0 comments:
Post a Comment