Saturday 29 August 2020

NEC YATANGAZA WAGOMBEA UBUNGE MAJIMBO 18 YA UCHAGUZI WAMEPITA BILA KUPINGWA

...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma Agosti 28,2020 ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa. (Picha na NEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma Agosti 28,2020



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger